Luke 22:24

Mabishano Kuhusu Ukuu

24 aPia yakazuka mabishano katikati ya wanafunzi kwamba ni nani aliyeonekana kuwa mkuu kuliko wote miongoni mwao.
Copyright information for SwhNEN